KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 22, 2014

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgG6YYWdH3seFfh1foTkv81TOjyFTQMuJZBpnyy1qeIU7wA_Zij54ds72hM1KxD019BOpdmL0fBKsU-akLypnklfKwulUM3azb9y64qU5MibV8bYotMsmLMFRw9TXR0ne-3INjypL9Q3XJu/s1600/unnamed+(45).jpg
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Ghrib Bilal (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini Hannie Marie Kaarstad (wapili kulia), na wajumbe wake baada ya mazungumzo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEfjENSpRs-Igb09Lh4_phoYGvAYGdEJQOu5G73F3glN6j5yed5XBaRdbJan5MnITUfoOL4s4QaG6n6oRqwFFWBizpcTa4sii3vS1nj6a6ZzTFdgxsKQNv-4l_LeLqULZ1lvmkNZw3InNC/s1600/unnamed+(47).jpg
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali Said Siwa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuWz2Ka_sKFhCh6AZNx2ETYVfnA0lRx1CoCXhXPU0Xjs_xe0eI-3HgrVrKLzIJOb7Gh24L1xYfk6G-hV8wstC4bdaZ4X0qA6sX6XdYlEhLZ2Af1Vhfpz3ZwtcmzprAqu0yQGVJzaiPrquP/s1600/unnamed+(44).jpg
Makamu wa Rais wa Jmuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne Marie Kaarstad, wakati alipowasili ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Septemba 22, 2014 kwa mazungumzo

No comments:

Post a Comment