KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 15, 2014

MKUTANO WA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUFANYIKA SEPTEMBA 18, DAR

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXONKl_xo-bSy7LGKG0PElLFKlS711zEjEf4Z0II2Vd197yyC4r9j6567YDtNPm2pPVzzqfXT9Hs10VImOUOixfyqo5KtFN-ghAIQ4RjhVgNBpwv6VbY7DrXLeFQwSGX3ywigVikM8hIk/s1600/3.JPG
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili  wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi Dkt. Ambwene Mwakyusa, akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Msajili Msaidizi Utawala na Fedha Angello Ngalla na Msajili wa Bodi hiyo Jehad A. Jehad.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpF6t-afFxe7N7LOIcIU4wplH7PihWMf0BHxjEnXL9yTFkxyWCujufEqtGgRcDW2g6ae6O0a1VUv5MVTQ_O3ySgycqY7CRZYJOE_YpmXfY1NteEfDKYElw0m7nTiO0bAaKlC79etFxI7Y/s1600/5.JPG 
Msajili wa Bodi Jehad A. Jehad (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kutoka kulia ni Mkaguzi wa Ndani Ezekiel Stephene, na Kaimu Msajili Msaidizi Ufundi Mashaka Bundala.

No comments:

Post a Comment