KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 20, 2014

DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA WATAALAM WA HUDUMA ZA HABARI NA MAKTABA ZA AFYA AFRIKA (AHILA)

01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA), uliofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2014. 
03
Baadhi ya wadau wa mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia  alipokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa Wataalam wa Huduma za Habari na Maktaba za Afya Afrika (AHILA).
04
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. 
05
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo, mshiriki wa mkutano huo kutoka Nchini Zimbabwe, aliyepokea kwa niaba ya Gilchriste Ndongwe. 
06
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mshiriki wa mkutano huo kutoka nchini Tanzania, Montea Chipungahelo. 
07
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tuzo mshiriki wa mkutano huo kutoka nchini Nigeria, aliyepokea kwa niaba ya Samuel Bello.
10B
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Mkutano huo baada ya ufunguzi rasmi.
10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene na baadhi ya Waratibu wa mkutano huo wakati akiondoka eneo hilo baada ya kufungua rasmi mkutano huo leo . Picha na OMR

No comments:

Post a Comment