Mkuu wa Maabara ya Kuchunguza Maradhi mbalimbali, Msafiri L. Marijani, akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein (katikati), wakati alipotembelea Hospitali ya Mnazi Mmoja leo Mjini Zanzibar. |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein, akiangalia uhifadhi wa damu salama katika mashine maalum, akiwa na Aazan Humud, katika chumba maalum alipotembelea katika ofisi za kituo hicho Sebleni Nyumba za Wazee Mjini Zanzibar leo. |
No comments:
Post a Comment