Waziri wa Umwagiliaji, Maji na Umeme, Mhe. Alemayehu Tegenu (wa pili kushoto), na Waziri wa Nchi (kazi maalum) Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya (kulia), wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa mradi, Mhandisi Bekele (katikati). |
Waziri wa Nchi (kazi maalum) Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya, na Balozi wa Tanzania Nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz (wa pili kushoto), wakitembelea mradi wa ujenzi wa bwawa kuu la Ethiopia (Great Ethiopian Renaissance Dam - GERD). |
No comments:
Post a Comment