KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 20, 2014

TAARIFA KWA UMMA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), linatoa taarifa kwa wananchi wote kuwa ni kosa kisheria kumiliki au kuvaa sare za JWTZ kwa mtu yeyote asiyehusika.
 
Aidha,  kumeonekana matukio kadhaa ya baadhi ya vikundi, ama mtu mmoja mmoja kumiliki au kuvaa sare za JWTZ. 

Inakumbushwa kuwa, kwa yeyote atakayeonekana amevaa ama kumiliki sare hizo sheria itachukua mkondo wake.
 
Imetolewa na:
Kurugenzi wa Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.

No comments:

Post a Comment