Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira (MUWSA), Florah Stanley, akifanya utambulisho kwa Waandishi wa Habari walipotembelea Mamlaka hiyo. |
Baadhi ya Wanahabari waliotembelea Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira (MUWSA). |
Meneja Fedha wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA), Joyce Msiru, akijitambulisha kwa Wanahabari. |
Mwenyekiti wa TUICO tawi la MUWSA, Maulid Barie, Katibu wa TUICO tawi la MUWSA, Jacob Olotu, wakati wa ziara ya Waaandishi wa Habari katika ofisi za Mamlaka hiyo. |
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira, Mhandisi Cyprian Luhemeja, akizungumza na Wanahabari (hawako pichani), walipotembelea ofisi za mamlaka hiyo. |
Toka kushoto ni Meneja Biashara wa MUWSA, John Ndetiko, Meneja Rasilimali Watu, Michael Konyaki, wakati wa kikako na Wanahabari kilicho fanyika katika ukumbi wa Bodi ya MUWSA. |
Meneja Ufundi wa MUWSA, Patrick Kibasa, akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. |
Meneaja Biashara MUWSA, John Ndetiko, akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. |
Mkurugenzi wa MUWSA, Mhandisi Cyprian Luhemeja, akitoa maelezo kwa Wanahabari kuhusu uchimbaji wa visima kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji katika vyanzo vyake. |
Mkurugenzi MUWSA, Mhandisi Cyprian Luhemeja, akiwaonesha Wanahabari moja ya tanki lililopo eneo la CCP, ambalo linatumika kuhifadhi maji. |
Mhandisi Luhemeja, akionesha moja ya kisima kilichochimbwa katika eneo la matanki ya kuhifadhi maji ambacho pia kutasaidia kuongeza maji katika matanki hayo kwa ajili ya matumizi. |
No comments:
Post a Comment