NDEGE ndogo imeanguka maeneo ya Ukonga na inasemekana watu watu wamefariki dunia vikosi vya uokoaji vimeshafika eneo hilo hii ni kwa mujibu wa WAPO Radio FM. Ndege hiyo ilikuwa na abiria hao watatu. imeanuka eneo la Moshi bar kwa mujibu pia wa shududa aliyepiga simu kwa blog hii
No comments:
Post a Comment