KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 1, 2014

MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI WAKISIMAMIWA NA KOCHA SUPER D

Bondia Shabani Kaoneka (kushoto) akipambana na Omari Bai wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa mpira wa mikono  yakisimamiwa na kocha Super D
Bondia Shabani Kaoneka( kulia) akimtupia konde  Obago Kamata wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya uhuru uwanja wa mpira wa mikono yakisimamiwa na Super D Boxing Coach Dar es salaam jana

Bondia Obaga Kamata kushoto akipambana na Idrisa Mweta wakati wa mazoezi yaliyofanyika shule ya Uhuru  picha na SUPER D    BLOG                                

No comments:

Post a Comment