KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

November 25, 2014

POLISI MAREKANI WAMUUA MTOTO ALIYEKUWA NA MDOLI WA BASTOLA WAKIDHANI NI SILAHA HALISI




MVULANA wa miaka 12 ameuawa na polisi katika jimbo la Ohio wakati alipokuwa akitishia watu na mdoli wa bastola ,Tamir Rice Mmarekani mweusi amefariki jana hospitali alikokuwa akipatiwa matibabu.

Polisi walisikika wakisema katika redio yao kuwa  "kuna kijana ameshika bunduki anamuelekezea kila mtu sasa sijui ni mdoli au ni halisi,"

 Aliyejibu alisikika akiuliza kuwa ni mweuzi au mzungu, walipofika polisi eneo la tukio walimuamuru kijana huyo kunyanyua mikono juu lakini aliendelea kuchezea mdoli wake ndipo polisi walipomfyatulia risasi mbili zilizomsababishia umauti.

No comments:

Post a Comment