KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 20, 2014

MTANZANIA AFUNGWA MAISHA AUSTRALIA



Charles Mihayo akipelekwa gerezani baada ya hukumu yake.MTANZANIA Charles Mihayo (36), ambaye amechukua uraia wa Australia, amehukumiwa kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuua watoto wake wawili wa kike Aprili mwaka huu.

No comments:

Post a Comment