inocomm.blogspot.com

December 23, 2014

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFANYA ZIARA KATIKA VITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ”A” UNGUJA.

unnamed1Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni akiwaonyesha  wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany  jiko la kuchoma takataka za Hospitali hiyo. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. unnamed2Wawakilishi wa UNICEF na WHO  wakiangalia takwimu za wagonjwa waliopata matibabu  katika Hospitali kuu ya Wilaya  kwa kipindi cha miezi 11 kunzia Januari  walipofanya ziara na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. unnamed3Daktari dhamana wa Hospitali ya Kivunge  Khamis Hamad akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na ujumbe aliofuatana nao  walipofanya ziara kuangalia utendaji wa kazi na kujitambulisha.
Unknown at 8:40 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

KUHUSU SISI

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.