KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 25, 2015

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SAUT CHA JIJINI MWANZA AKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA TSH 1/-ALICHOJISHINDIA KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM TANZANIA

Displaying 003.JAY.jpg
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja(katikati)akiwa amepozi kwa picha na marafiki zake Careen Masonda(kushoto)na Lucy Mlacha(kulia)mara baada ya kukabidhiwa kitita hicho cha shilingi milioni 1/-na Mkuu wa kanda ya ziwa wa Vodacom Tanzania Dominician Mkama(hayupo pichani)alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Displaying 002.JAY.jpg
Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama(kushoto)akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 1/- Evarista Minja ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Displaying 005.JAY.jpg
Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama(kushoto)akiongea na Evarista Minja(wapili toka kulia)na marafiki zake alipomtembelea Mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha SAUT jijini Mwanza kwaajili ya kumkabidhi kitita chake cha shilingi Milioni 1/-alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.                                                                                                                          

No comments:

Post a Comment