KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 29, 2015

NI NANI SHERIA NGOWI



Ndugu zangu,
Mara ya kwanza kukutana nae ni miaka miwili iliyopita. Nikawa miongoni mwa watu wa mwanzoni kujua kuwa amepewa kazi ya kudesign suti za wachezaji wa timu yetu ya taifa. Na juzi hapa nikasikia, Sheria Ngowi ndiye aliyedesign na kushona suti ya Rais Mpya wa Zambia. Jana nikampigia simu kumwomba kukutana nae. Nilitaka kwenda anakofanyia kazi zake na kuongea nae kwa kina. Dhumuni langu kubwa ni kutaka kupata jibu la swali la ni nani huyu Sheria Ngowi anayepeperusha bendera ya nchi yetu hata nje ya mipaka yetu. Nimeongea nae kwa saa moja na nusu. Sasa naweza kusema, kuwa nimemfahamu zaidi Sheria Ngowi.
Maggid.
                                                                   

No comments:

Post a Comment