KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 27, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA DKT. EDWARD HOSEA, JIJINI DAR.

Displaying 1.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya marehemu Esther Gigwa, Mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea, wakati alipofika kushiriki kuaga mwili huo nyumbani kwa mkurugenzi huyo, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Feb 27, 2015. Picha na OMR
Displaying 2.jpg

Wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya maziko.
Displaying 3B.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiifariji, Familia ya wafiwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Edward Hosea na nduguze, waliofiwa na mama yao mzazi wakati Makamu alipofika kushiriki katika shughuli ya kuaga, Masaki jijini Dar es Salaam.
Displaying 006.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu mama mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. Ewdard Hose, Mama Esther Gigwa, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika leo nyumbani kwa Mkurugenzi huyo, Masaki jijini Dar es Salaam.                                                                                          

No comments:

Post a Comment