KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 21, 2015

MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SLAA ASIMAMISHA UJENZI WA MAJENGO YALIYOPO MAKUTANO YA AGGREY & INDRAGADHI KWA KUKIUKA MICHORO YA UJENZI

Displaying 004.JP.bmp
Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa ya Ilala Themi Luther(katikati)akimpatia maelekezo .Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa(kushoto) kuhusiana na usanifu wa jengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na Indragadhi ambapo ujenzi huo haujafuata michoro,Meya huyo alitembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali, Katika ukaguzi huo majengo mengi yamekiuka michoro ya ujenzi na amesimamisha ujenzi huo mara moja hapo jana.
Displaying 001.JP.bmp
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa(kushoto) na Mkuu wa kitengo cha mazingira wa manispaa hiyo Themi Luther(kulia) wakipitia michoro ya usanifu ya majengo kwenye makutano ya mitaa ya Aggrey na Indragadhi ambapo ujenzi huo haujafuata michoro, Alipotembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali, Katika ukaguzi huo majengo mengi yamekiuka michoro ya ujenzi na amesimamisha ujenzi huo mara moja hapo jana.
Displaying 006.jp.bmp
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa(katikati mwenye miwani) akitaka ufafanuzi wa michoro ya majengo kwa mmoja wa waandisi wanaojenga majengo yaliyopo katika makutano ya mitaa ya Aggrey na Indragadhi ambapo baadhi ya majengo hayo hayajafuata michoro sanifu,Meya huyo  alitembelea na kupima uzio wa mabati unaowekwa na wakandarasi wengi bila kulipiwa vibali, Katika ukaguzi huo majengo mengi yamekiuka michoro ya ujenzi na amesimamisha ujenzi huo mara moja hapo jana.

No comments:

Post a Comment