KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 17, 2015

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA AGENTINA ALIPOTEMBELEA OFISI ZA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

age1Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wa kwanza kulia Mhe. Antony Bahame Nyanduga akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain anayemfuatia Kulia.
age3
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi.Mary Massay akitoa maelezo mafupi kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora mbele ya mgeni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain.
age2Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain akitia saini kitabu cha wageni ofisini kwa Mwenyekiti wa Tume.

No comments:

Post a Comment