![]() |
| Katibu wa Jumuiya ya vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wilaya ya Moshi mjini ,Joel Makwaia akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu alipowasili ofisi za CCM mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kutafuta wadhamini . |
![]() |
| Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi mjini ,Loth Ole Nesele akizungumza wakati akimkaribisha Nyalandu kuzungumza na iajana hao. |
![]() |
| Mke wa Waziri wa Maliasili na Utalii,LAzaro Nyalandu,Faraja Nyalandu akisalimia wananchi waliofika kumdhamni mumewe. |
![]() |
| Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwashukuru vijana hao waliojitokeza kwa wingi kumdhamini. |






No comments:
Post a Comment