KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 7, 2015

CHEO NI DHAMANA: HALI ILIVYOKUWA JANA KABLA YA AKINA MRAMBA KWENDA JELA

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba akiteta na Wakili wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona. Picha ndogo kulia ni Mramba na Yona wakipanda kwenye gari la Polisi. (Na Mpigapicha Wetu).
VILIO na simanzi vilitawala katika eneo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.

No comments:

Post a Comment