KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 1, 2015

USHOGA MAREKANI: MUGABE ATAKA 'KUMUOA' OBAMA



Leader: Preisdent of Zimbabwe Robert Mugabe, who is known for his brutal crusades against gay people, has mocked America's decision to legalise gay marriage across all 50 states by proposing to Barack Obama
Komredi Mugabe

Habari za uamuuzi wa Mahakama kuhusu ndoa ya jinsia moja ,zimefika Zimbabwe,ambako Rais wa nchi hiyo Robert Mugabe alinukuliwa na redio ya taifa  akisema  hajafurahishwa na hukumu hiyo na jinsi Rais Obama anavyounga mkono ndoa hizo ,


   “Ndo nimeipata taarifa hii –tangu  Rais Obama  kukubali ndoa za jinsia moja ,na kuruhusu watu wa jinsia moja,kutetea ,kufurahia muonekano  –hivyo  kama  itakuwa  lazima, nitasafiri Washington, DC, nitapiga magoti  na kuomba kumshika mkono  wake.


Kama huongei lugha ya Mugabe, anasema Mugabe  kwamba Rais Obama kukubali ndoa ya jinsia moja ina maanisha kuwa na yeye labla ni shoga  na kutania kuwa anataka kumuoa ,Mugabe anasema utani huo  unalenga katika kuonyesha kuwa ndoa za jinsia moja ni upumbavu , Mwanamume kumtongoza mwanamume mwenzie ni wendawazimu .


Mugabe amekuwa mpinzani wa ndoa za jinsia moja kwa miaka mingi,ni njia yake ya  kutafuta umaarufu  na kukwepa mambo ya msingi  anatumia ndoa ya jinsia moja kumpinga Rais Obama  ambaye ni maarufu Afrika.


"Sasa tunaye huyu Rais Obama , amezaliwa na baba mwafrika ambaye anasema kuwa hatatoa misaada ikiwa hamtakumbatia ushoga  ," Mugabe alisema mwaka 2013. "tunauliza, alizaliwa kupitia ushoga?tunataka kuendeleza Uafrika, na hiyo inatoka kwa mwanamke na siyo kwa ushoga John na John, hapana ; Maria na Maria hapana”


Upinzani  dhidi ya ushoga unaendeshwa na watu wanaopenda umaarufu kama  Mugabe, ni tatizo kwa nchi za kusini mwa jangwa la sahara ambako wanachukulia  ushoga kuwa na kosa la jinai .Utafiti unaonyesha kuwa jamii nyingi za nchi za Afrika  hazikubaliani na ushoga 


Wakati haki za mashoga  zikiboreka katika maeneo mengi ,hali ni mbaya Kusini mwa  Jangwa la Sahara  . Ripoti ya mwaka 2013 ya shirika la haki za binaadamu la Umoja wa Mataifa inasema hali ni mbaya Afrika  


Kwanini ni kwa Obama? Utawala wa Obama umekuwa ukiuunga mkono ndoa za jinsia moja Afrika jambo ambalo limekumbana na upinzani wa viongozi wanao tafuta umarufu kama Mugabe . KWA HISANI YA THE MAIL

No comments:

Post a Comment