![]() |
| Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015. |
![]() |
| Kikosi cha timu ya Himo fc. |
![]() |
| Kikosi cha timu ya Wazalendo fc. |
![]() |
| Heka heka zikiendelea uwanjani. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0. |
![]() |
| Mh Mbatia akikabidhi kitita cha fedha kiasi cha sh Milioni 2 kwa mabingwa hao. |
![]() | |||||
| Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya mipira mitatu kwa mabingwa hao. |









No comments:
Post a Comment