KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 5, 2016

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWATEMBELEA WAHADZABE NA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO KWA JAMII HIYO

11
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kucheza ngoma ya asili ya jamii ya Kihadzabe.
13
Msafara wa  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukikatisha misitu na mabonde wakati ukielekea kata ya Mwangeza kijiji cha Kibampa ambako jamii hiyo inaishi.
15
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaklimiana na vijana wa kisukuma aliowakuta wakipalilia shamba, vijana hao walimweleza Kinana kuwa wanahitaji serikali iwatengenezee barabara yao jambo ambalo litarahisha hata uuzaji wa mazao yao.
16
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mradi wa maji katika kijiji cha Munguli ambao umejengwa maalum kwa ajili ya jamii hiyo anayetoa maelekezo ni Mkuu wa wilaya ya Mkalama Ndugu Christopher Ngubiagai.
17
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mabweni ya watoto wa jamii ya Kihadzabe yaliyojengwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Parseko Kone  katika kijiji cha Munguli  mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 60 wa kiume 30 na wakiume 30 yamejengwa maalum kwa ajili ya jamii kulia  ni Mkuu wa wilaya ya Mkalama Ndugu Christopher Ngubiagai.

19
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ya Munguli Athman Kinyere akisoma taarifa ya shule hiyo  kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
20
Hii ni moja ya nyumba zinazotumiwa na jamii hiyo ya Kihadzabe.
21
Baadhi ya wananchi wa jamii hiyo wakiwa katika mkutano 
23
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua mtambo wa Sola unaoendesha maji katika  mradi wa maji wa kijiji cha Munguli ambao umejengwa maalum kwa ajili ya jamii hiyo anayetoa

No comments:

Post a Comment