KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 18, 2016

MAJALIWA AKUTNA NA VIONGOZI WA AIRTEL

ke1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Bharti Airtel ya India, Bw. Sunil Bhartri  Mittal  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ke2
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mtendaji Mkuu (CEO) wa Kampuni ya  Airtel Africa, Bw. Christian Defaria  (kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Bharti Airtel ya India, Bw. Sunil Bhartri  Mittal  (katikati)  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment