NAIBU WAZIRI WA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATEMBELEA TANROAD
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.
Mhandisi Edwin Ngonyani (kulia) akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala
wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale wakati Naibu
Waziri huyo alipowatembelea katika ofisi Makao Makuu ya TANROADS leo
Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wakala wa Barabara Tanzania
(TANROADS) wakifuatilia taarifa toka kwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS,
Mhandisi Patrick Mfugale wakati alipopata ugeni wa Naibu wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani katika Makao Makuu
ya ofisi hizo Jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment