KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 30, 2016

MKUU WA MKOA WA MWANZA AZINDUA COPA UMISSETA

Mkuu wa mkoa wa Mwanza.John Mongella akipokelewa na  Viongozi na wadau wa michezo alipowasili uwanja wa CCM Kirumba kuzindua mashindano ya COPA UMISSETA

Meneja masoko wa wa kampuni ya vinywaji baridi ya Cocacola Kanda ya Ziwa, Marco Masaka akizungumza katika uzinduzi huo.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akipiga mpira  kuzindua mashindano ya Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari (COPA UMISSETA)  ambayo yanadhaminiwa  na kampuni ya vinywaji ya Cocacola jana kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

No comments:

Post a Comment