KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 27, 2016

VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO WACHANGA VYAPUNGUA NCHINI.

kw2Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya , maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto , Mkurugenzi wa Tiba Dkt. Margaret Mbando akiongea na waandishi wa habari na Wadau wa Mpango wa Tanzania na Ujerumani kusaidia Afya (TGPSH) hawapo pichani wakati wa ufunguzi wa maonesho ya picha yanayofanyika Makumbusho ya Taifa mpaka Juni 10 mwaka huu jijini Dar es salaam.
kw3
Balozi wa Ujerumani Mhe. Egon Kochanke  kulia akikata utepe kuashilia kuanza rasmi kwa maonesho ya picha yanayofanyika Makumbusho ya Taifa mpaka Juni 10 mwaka huu jijini Dar es salaam na wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Afya , maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto , Mkurugenzi wa Tiba Dkt. Margaret Mbando.

No comments:

Post a Comment