Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Hamis Shaban na Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa (Uchumi) wa Korea Weon-Kyoung Jo wakisaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo, yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 650. |
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Amina Hamis Shaban na Mkurugenzi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa (Uchumi) wa Korea Weon-Kyoung Jo wakipeana mikono baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo, yenye thmani ya zaidi ya dola za Marekani milioni 300, katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es salaam. |
Kaimu Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mamelta Mutagwaba, akipeana mkono na mmoja wa wajumbe kutoka Korea baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo, yenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 650. |
Wajumbe kutoka Serikali ya Korea wakisoma Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini na Serikali ya Korea kabla ya kusainiwa |
Mjumbe kutoka Tanzania akichangia hoja katika mjadala wa Ushirikiano katika Misaada ya Maendeleo ya Kiuchumi uliofanyika katika ukumbi wa Wizara jijini Dar es salaam kati ya Tanzania na Korea, kabla ya kusainiwa kwa Hati ya Ushirikiano ambapo Korea imeahidi kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 650. |
No comments:
Post a Comment