KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 26, 2016

ZITTO KUHUDHURIA WIKI YA KIMATAIFA YA VIZIWI


Leo Jumatatu septemba 26/2016, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe atahudhuria maonesho ya bidhaa yaliyoandaliwa na Taasisi ya “Furaha ya Wanawake Viziwi Tanzania” (FUWAVITA).
Maonesho yatayofanyika katika Viwanja vya Biafra (Karibu na Chuo Kikuu Huria) jijini Dar es salaam,
Muda saa nne kamili Asubuhi.
Ndugu Zitto Kabwe ataambatana na Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii ndugu Janeth Rithe.
Imetolewa na Abdallah Khamis Afisa Habari, ACT Wazalendo
26/09/2016

No comments:

Post a Comment