
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akifafanua
jambo kwa vyombo vya habari kuhusu Mkutano wa Mtandao wa Kimataifa wa
kuzuia unyonyaji na usafirishaji wa watoto kwa lengo la kuwafanyisha
ngono unaoendelea leo jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga pamoja na
baadhi ya Wajumbe wa bodi ya Mtandao wa Kupambana na Usafirishaji na
unyonyaji watoto Kingono Duniani wakifuatilia maendeleo ya Mkutano huo
leo jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Mkutano wa Mtandao wa
Kupambana na Usafirishaji na unyonyaji watoto Kingono leo jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment