
Waziri Mkuu,Mh. Kassim Majaliwa watatu (kushoto) akisalimiana na Afisa Uhusiano wa TBL Group, Editha Mushi, wakati wa harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati pamoja na uboreshaji
wa shule nchini, iliyoandaliwa na mfuko wa Wakfu wa Hassan Maajar
(Hassan Maajar Trust) na kufanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee
jijini Dar es Salaam .Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bank
M,Jacqueline Woisso na Mtendaji Mkuu wa Hassan Maajar Trust, Balozi
Bertha Semu.TBL Group ilikuwa mmoja wa wadhamini wa harambee hiyo.

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu,Mh. Kassim
Majaliwa, watatu (katikati) Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bank
M,Jacqueline Woisso na Mtendaji Mkuu wa Hassan Maajar Trust Balozi
Bertha Semu,Meneja rasmali watu wa TBL Group Lilian Makau, Afisa
Uhusiano wa TBL Group, Editha Mushi (wa
pili kulia) na Mwenyekiti wa Hassan Maajar Trust,Balozi Mwanaidi Maajar
wakati wa harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya ununuzi wa madawati
pamoja na uboreshaji
wa shule nchini, iliyoandaliwa na mfuko wa Wakfu wa Hassan Maajar
(Hassan Maajar Trust) jijini Dar es Salaam ambapo TBL ilikuwa mmoja wa
wadhamini.

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakisikiliza hutuba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati wa harambee hiyo.
No comments:
Post a Comment