Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Dkt. Aziz P. Mlima, akifungua Mkutano cha Makatibu
Wakuu nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa Kamati Ndogo ya Mawaziri ya
Siasa na Diplomasia ya SADC (Inter State Politics and Diplomacy Sub
Committee-ISPDC) unaotarajiwa kufanyika tarehe 23 na 24 Februari, 2017.
Mkutano wa Makatibu Wakuu unafanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa
Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment