KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 22, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI MKOANI MANYARA

1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la daraja la Bonga- Endanachan wilayani Babati,  Februari 22, 2017.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dkt, Joel Bendera na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Raymound Mushi.
2
 Baba mmoja ambaye jina lake halikupatikana akiwa amembeba mwanae kwa mtindo wa ‘Kangaroo Style’ wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza na wanakijiji  wa Singu wilayani  Babati, Februari  21, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment