![]() |
| Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Iddi Mgwatu (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Bibi Elizabeth Tagolla kufungua kikao cha Baraza la wafanyakazi TEMESA kinachofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. |
![]() |
| Wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiimba kwa pamoja wimbo wa wafanyakazi. Baraza hilo la siku moja linafanyikia uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. |
![]() |
| Baadhi ya wajumbe wa kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi Bibi Elizabeth Tagolla (aliyeketi katikati). Baraza hilo la siku moja linafanyika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam. |
![]() |
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi
na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Iddi Mgwatu (kushoto) akiagana na
Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Bibi Elizabeth Tagolla (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika
kikao cha baraza la wafanyakazi TEMESA kinachofanyika uwanja wa Taifa
jijini Dar Es Salaam.
Picha zote na Alfred Mgweno – TEMESA
|






No comments:
Post a Comment