MBUNGE WA VITI MAALUM (CCM) JACKLINE NGONYANI MSONGOZI AMEWAKABIDHI UWT VITI 100 .
Mbunge wa Viti maalum (CCM) mkoa wa Ruvuma Jackline Ngonyani
Msongozi amewakabidhi Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi
(UWT) wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma viti 100 vyenye thamani ya shilingi
milioni moja na Laki saba.
No comments:
Post a Comment