KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 26, 2017

KKKT DAYOSISI YA KASIKAZINI JIMBO LA HAI USHARIKA WA UDURU, MACHAME KATI - TANGAZO LA MKUTANO

Bwana asifiwe.

Mchungaji kiongozi wa Usharika  wa Uduru pamoja na wajumbe wa Baraza la wazee


wanaomba kukutana na Washarika wote wa Uduru wanaoishi mikoa  ya Dar es salaam na Pwani, ili kuwapa taarifa za Usharika wao, pamoja na kushiriki nao chakula cha jioni kwenye Ukumbi wa Golden Resort Sinza (Lion Street) tarehe 30 April 2017 saa 10.00 jioni.

 
Kushiriki kwako ni muhimu sana kwa maendeleo ya
Usharika wetu. Taarifa hii mpe na mwenzako.


MUNGU
AWABARIKI SANA.


Kwa maelezo
zaidi wasiliana na:  


 Mzee Manaseh Mwana
Ndanshau    0754 284 926
                                                               
Bw. Niko Semu Mushi                        0715 310
995

No comments:

Post a Comment