Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku
Galawa baada ya kuwasili Mkwajuni wilayani Songwe kuanza ziara ya mkoa
wa Songwe Julai 20, 2017. Kulia ni mkewe Mary.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya
Songwe, Elias Nawela baada ya kuwasili Mkwajuni wilayani Songwe kuanza
ziara ya mkoa wa Songwe Julai 20, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Songwe, Chiku Galawa.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimia wakati Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa (kulia) alipozungumza na watumishi wa umma na viongozi
wa dini kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi cha Kanisa Katoliki cha
Mwambani wilayani Songwe, Julai 20, 20117. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa
Songwe, Chiku Galawa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa umma na viongozi wa
dini wa mkoa wa Songwe kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi cha Kanisa
Katoliki cha Mwambani wilayani Songwe, Julai 20, 2017. Kushoto ni Mkewe
Mary na Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.
No comments:
Post a Comment