KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 21, 2017

MAREKEBISHO DARAJA TRL

Kaimu Naibu Mkurugenzi Uendeshaji wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL.Focus Sahani,katikati akizungumza na waandishi wa  wahabari hawapo pichani Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kuhusu marekebisho ya uboreshaji wa miundombinu ya reli yake katika eneo la kati ya stesheni ya Morogoro na Mazimbu,daraja liliharibika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha hivikaribuni.kulia ni Kaimu meneja Mkuu Masoko Shabani Kiko, na Kaimu Mkuu wa Usalama wa reli na Ulinzi wa Ndani,Mhandisi, Adolphina Ndyetabula. Picha na Prona Mumwi

No comments:

Post a Comment