KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

December 17, 2017

RAIS MAGUFULI AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI KWA KUENDELEA KULIOMBEA TAIFA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo Desemba 17, 2017 wameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma kusali ibada ya Jumapili.
Akizungumza baada ya ibada hiyo Rais Magufuli amewashukuru viongozi wote wa dini wa madhehebu mbalimbali ya dini kwa kuendelea kuliombea Taifa ili lidumishe amani na upendo.

No comments:

Post a Comment