KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 23, 2018

ZABUNI KUBWA YA UJENZI WA HOTELI NA MAENEO YA BIASHARA TBIII YAFUNGULIWA LEO

  1. Wananchi walionunua zabuni za kuwekeza katika ujenzi wa hoteli ya nyota nne na maeneo ya biashara kwenye jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo wakifuatilia kwa makini wakati wa ufunguaji wa zabuni hizo katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Kwanza la abiria (TB1).


  1. Afisa Manunuzi na Ugavi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bi. Margareth Mushi akifungua boksi lililohifadhia zabuni za ujenzi wa hoteli ya nyota nne na maeneo ya biashara katika jengo la tatu la abiria la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere.   

Nyaraka za tenda za ujenzi wa hoteli ya nyota nne na maeneo ya biashara kwenye Jengo la tatu la abiria zikiendelea kutolewa ndani ya boksi leo tayari kwa kufunguliwa mbele ya walioomba

No comments:

Post a Comment