Jeshi
la polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Moshi kwa kukutwa na
gari inayosadikiwa kumilikiwa na Ikulu ya Nairobi nchini Kenya ambayo
inasadikiwa kuibwa nchini Kenya tarehe 19 Agosti.
Gari
aina ya Nissan V8 yenye Namba za Usajili KCP 184 RV. Lakini ilikuwa
imebandikwa T954 DEQ ilikamatwa ikiwa njiani ikielekea Kilimanjaro
ikitokea nchini Kenya. Tarehe 19 kulikuwa na taarifa ya gari aina ya V8
kuibiwa Kenya.
No comments:
Post a Comment