Msanii wa muziki Bongo, Harmorapa amepata dili la kuwa balozi wa kampuni ya Moovin inayotoa huduma ya usafiri.
Kampuni
hiyo ya usafiri ya Moovin ilimtangaza rapa Harmorapa pamoja na
mtangazaji wa XXL ya Clouds FM jana Jumatatu kuwa mabalozi, tukio ambalo
lilifanyika katika hotel ya Double Tree jijini Dar es salaam
Akiongea
baada ya kutangazwa Harmorapa ameishukuru kampuni hiyo kwa kutambua
nguvu yake na kuamua kumpatia deal hilo ambalo litamjengea heshima
kubwa.
Hapo awali kampuni hiyo ilimtambulisha Madam Ritha wa BSS kuwa balozi wao pia.
Hili ni dili lingine kwa Harmorapa mara baada hapo awali kuwahi kuwa balozi wa kinywaji cha Swala.
Hapo awali kampuni hiyo ilimtambulisha Madam Ritha wa BSS kuwa balozi wao pia.
Hili ni dili lingine kwa Harmorapa mara baada hapo awali kuwahi kuwa balozi wa kinywaji cha Swala.
No comments:
Post a Comment