KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 26, 2015

BREAKING NEWS;MWANASHERIA WA PROF.ANNA TIBAIJUKA 'ALIHENYESHA' BARAZA LA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA

DSC_0018
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kuvuliwa wadhifa huo kufuatia sakata la Escrow, Prof. Anna Tibaijuka akitoka kikaangoni wakati wa mapumziko mafupi kuwapa nafasi viongozi wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kujadili.
DSC_0019
Prof. Anna Tibaijuka akizungumza na vyombo vya habari nje ya ukumbi wa Karimjee wakati wa mapumziko mafupi mchana huo.
DSC_0023
Prof. Anna Tibaijuka ajiandaa kupanda gari lake wakati wa mapumziko mafupi kuwapa nafasi viongozi wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kujadili.
*Awabana kwa vifungu vya sheria na kanuni zaidi ya masaa 3
Mwandishi Andrew Chale wa modewjiblog yupo kwenye eneo la tukio akiendelea  kufuatilia kikaango hicho kilichovuta  hisia za wengi…Endelea kufuatilia modewjiblog kwa picha na stori kamili zitawajia hivi punde.

No comments:

Post a Comment