Mjumbe
wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa
akionyesha fomu aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge
Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 Mwaka huu
nchini kote, wakati aliporejesha fomu hiyo katika ofisi za CCM wilaya ya
Ilala aliyoikabidhi kwa Katibu Msaidizi wa CCM wilaya ya ILALA
(kushoto).
Jerry
Slaa aliongozana na Mwenyekiti wa tawi la Gulukakwalala ambako ndio
nyumbani kwake, Mwenyekiti wa CCM kata ya Gongo la Mboto pamoja na wazee
wa jimbo la Ukonga. |
No comments:
Post a Comment