KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 21, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA KAZI WA KIMATAIFA NA KANUNI ZA SHERIA YA KUZUIA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU

ch1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizindua Mpangokazi wa Kimataifa na Kanuni za Sheria ya kuzuia usafirishaji haramu wa Binadamu, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika leo Agosti 21, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kulia) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Kinemo Kihonamo. Picha na OMR


ch4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpangokazi wa Kimataifa na Kanuni za Sheria ya kuzuia usafirishaji haramu wa Binadamu, uliyofanyika leo Agosti 21, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

ch5
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzindua mpango kazi huo, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Agosti 21, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

ch6
Baadhi ya Wanafunzi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo wakimsikiliza mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR

ch7
Baadhi ya Wanafunzi waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo wakimsikiliza mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR



ch10
Add caption
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wanafunzi waliohudhuria hafla hiyo, baada ya uzinduzi. Picha na OMR


No comments:

Post a Comment