Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam jana. |
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom Nyanduga akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete tuzo maalum kwa kutambua mchango wake katika kuboresha haki za binadamu na Utawala Bora nchini muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuhutubia na kuagana rasmi na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo.Watatu kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serkali Mh.George Masaju |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bwana Tom Nyanduga pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro baada ya Rais Kuwahutubi na kuagana na wafnyakazi wa tume hiyo jana. |
No comments:
Post a Comment