Mkuu
wa Wilaya ya Kinondo jijini Dar es Salaam, Ally Salum(watatu kushoto)
akikata utepe kuashiria kupokea kwa madawati 500 yaliyotolewa na Vodacom
Tanzania Foundation
kwa ajili ya shule 5 za kata ya Mwananyamala Kisiwani.Hafla hiyo
ilifanyika katika Shule ya msingi Mchangani iliyopo mwananyamala
Kisiwani jijini.Kutoka kushoto Mwalimu Mkuu wa shule hiyo,Janester
Emily,Kaimu Afisa elimu shule za msingi kinondoni,Chitegese
Dominic, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom
Tanzania, Jacquiline Materu na Mkuu wa kitengo cha Vodacom Tanzania
Foundation,Renatus Rwehikiza.
|
No comments:
Post a Comment