inocomm.blogspot.com

December 24, 2014

KIJANA AKOTWA MAENEO YA KANISANI WILAYA YA KAHAMA HAWEZI KUONGEA VIZURI

Afisa maendeleo wa mji wa Kahama Neema Lujumba akiwa na kijana huyo baada ya kufikishwa Ofisi ya Mtendaji wa kata ya Nyasubi kwa mahojiano zaidi
Kijana Sebastin akionekana baada ya kuokotwa akotwa maeneo ya Kanisa la Roman Katoliki mjini Kahama huku akiwa hawenzi kutaja jina lake vizuri na kwenye mkono wake akiwa ameandikwa jina lake .

Unknown at 2:57 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

KUHUSU SISI

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.