December 23, 2014
PINDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA QATAR
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wanaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano uliopfanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. Alikuwa katika ziara ya kaikazi nchini humo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wnaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano na wafanyabiashara hao uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Qatar wnaokusudia kuwekeza Tanzania katika mkutano na wafanyabiashara hao uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment