August 15, 2015

MAFURIKO YA LOWASSA YAHAMIA ARUSHA LEO

Msafara wa wapenzi wa Ukawa Arusha ambao walimpokea mgombea Urais wa Ukawa kupitia Chadema Edward Lowassa
Wakazi wa Arusha waliojitokeza kumsikiliza mgomgea wa Ukawa kupitia Ukawa, Mhe.Edward Lowassa ambaye pia anasaka wadhamini.
Wakazi wa Arusha waliojitokeza kumsikiliza mgomgea wa Ukawa kupitia Ukawa, Mhe.Edward Lowassa ambaye pia anasaka wadhamini.

No comments:

Post a Comment