inocomm.blogspot.com

September 27, 2016

MPIGANAJI WA KIISLAM AFUNGWA NA ICC

Ahmad Al Faqi Al Mahdi
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imemhukumu mwanamgambo wa Kiislamu raia wa Mali Ahmad Al Faqi Al Mahdi kifungo cha miaka tisa jela.
Al-Mahdi alikuwa ameshtakiwa makosa ya uhalifu wa kivita kuhusiana na kuharibiwa kwa makaburi tisa na msikiti mashuhuri katika mji wa kale wa Timbuktu, 2012.
Wakati wa kusikizwa kwa kesi yake, Al Faqi Al Mahdi alikiri mashtaka. BBC
Unknown at 4:33 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

KUHUSU SISI

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.